Matendo 28:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Paolo akakaa muda wa miaka miwili mizima katika nyumba yake aliyokuwa ameipanga, akawakaribisha watu wote waliokuwa wakimwendea, akikhubiri khabari za ufalme wa Mungu, na kuwafundisha watu mambo ya Bwana Yesu Kristo, kwa ujasiri mwingi, asikatazwe na mtu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Kwa muda wa miaka miwili mizima Paulo aliishi katika nyumba aliyoipanga yeye mwenyewe; akawa anawakaribisha wote waliofika kumsalimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Kwa muda wa miaka miwili mizima Paulo aliishi katika nyumba aliyoipanga yeye mwenyewe; akawa anawakaribisha wote waliofika kumsalimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Kwa muda wa miaka miwili mizima Paulo aliishi katika nyumba aliyoipanga yeye mwenyewe; akawa anawakaribisha wote waliofika kumsalimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Kwa miaka miwili mizima Paulo alikaa huko kwa nyumba aliyokuwa amepanga. Akawakaribisha wote walioenda kumwona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Kwa miaka miwili mizima Paulo alikaa huko kwa nyumba aliyokuwa amepanga. Akawakaribisha wote waliokwenda kumwona. Tazama sura |