Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 28:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Enenda kwa watu hawa, ukawaamhie, Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu; Na kuona mtaona, wala hamtapata kujua neno:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 akisema: ‘Nenda kwa watu hawa ukawaambie: Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 akisema: ‘Nenda kwa watu hawa ukawaambie: Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 akisema: ‘Nenda kwa watu hawa ukawaambie: kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 “ ‘Nenda kwa watu hawa na useme, “Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; na pia mtatazama, lakini hamtaona.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 “ ‘Nenda kwa watu hawa na useme, “Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; na pia mtatazama, lakini hamtaona.”

Tazama sura Nakili




Matendo 28:26
20 Marejeleo ya Msalaba  

illi wakitazama watazame, wasione; na wakisikia wasikie, wasifahamu; wasije wakageuka, wakasamehewa dbambi zao.


Nae akawaambia, Enyi wapumbavu, na wenye mioyo mizito katika kuyaamini yote waliyoyasema manabii!


Ndipo akaamsha akili zao, wapate kuyatambua maandiko matakatifu.


Akasema, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa Mungu, bali wengineo kwa mifano, illi wakiona, wasione, na wakisikia, wasitambue.


Na walipokuwa hawapatani wao kwawao, wakaenda zao, Paolo alipokwisha kusema neno hili moja ya kama, Roho Mtakatifu alinena vema na baba zetu, kwa kinywa cha nabii Isaya,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo