Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 28:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Na walipokuwa hawapatani wao kwawao, wakaenda zao, Paolo alipokwisha kusema neno hili moja ya kama, Roho Mtakatifu alinena vema na baba zetu, kwa kinywa cha nabii Isaya,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Basi, kukawa na mtengano wa fikira kati yao. Walipokuwa wanakwenda zao, Paulo alisema jambo hili: “Kweli ni sawa yale Roho Mtakatifu aliyowaarifu wazee wenu kwa njia ya nabii Isaya

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Basi, kukawa na mtengano wa fikira kati yao. Walipokuwa wanakwenda zao, Paulo alisema jambo hili: “Kweli ni sawa yale Roho Mtakatifu aliyowaarifu wazee wenu kwa njia ya nabii Isaya

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Basi, kukawa na mtengano wa fikira kati yao. Walipokuwa wanakwenda zao, Paulo alisema jambo hili: “Kweli ni sawa yale Roho Mtakatifu aliyowaarifu wazee wenu kwa njia ya nabii Isaya

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Hivyo hawakukubaliana, nao walipokuwa wanaondoka, Paulo akatoa kauli moja zaidi: “Roho wa Mungu alinena kweli na baba zenu aliposema mambo yale yaliyomhusu Bwana Isa kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Hivyo hawakukubaliana, nao walipokuwa wanaondoka, Paulo akatoa kauli moja zaidi: “Roho wa Mwenyezi Mungu alinena kweli na baba zenu aliposema mambo yale yaliyomhusu Bwana Isa kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba:

Tazama sura Nakili

Matendo 28:25
8 Marejeleo ya Msalaba  

Enyi wanafiki, ni vyema alivyotabiri Isaya katika khabari zenu, akinena,

Akawaambia, Isaya aliwakhubiri vema ninyi wanaliki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa hunibeshimu kwa midomo, Bali mioyo yao iko mbali nami;

Wengine waliamini yaliyonenwa, wengine hawakuyaamini.

Enenda kwa watu hawa, ukawaamhie, Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu; Na kuona mtaona, wala hamtapata kujua neno:

Alipokwisha kusema haya, Wayahudi wakaenda zao, wakiulizana mengi wao kwa wao.

Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari bili, ukashikamane nalo.

Kwa hiyo, kama anenavyo Robo Mtakatifu, Leo, kama mtasikia sauti yake,

Maana unabii haukuletwa zamani kwa mapenzi ya mwana Adamu; hali wana Adamu, watakatifu wa Mungu, walinena, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo