Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 28:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Na tulipoondoka wakatupakilia vitu vile tulivyokuwa na haja navyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Wakatupatia heshima nyingi, nasi tulipokuwa tayari kusafiri kwa meli, wakatupakilia vitu vyote tulivyokuwa tunavihitaji.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Wakatupa heshima nyingi, nasi tulipokuwa tayari kusafiri kwa njia ya bahari, wakapakia melini vitu vyote tulivyokuwa tunavihitaji.

Tazama sura Nakili




Matendo 28:10
15 Marejeleo ya Msalaba  

Baada ya miezi mitatu tukasafiri katika merikebu ya Iskanderia iliyokuwa imekaa pale kisiwani wakati wa baridi; na alama yake ni Dioskuri.


Yalipokwisha kutendeka hayo wengine waliokuwa na magonjwa katika kisiwa wakaja wakaponywa; nao wakatuheshimu kwa heshima nyingi.


Na Mungu atawajazeni killa mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu.


Hatukutaka kusifiwa na watia Adamu, wala na ninyi, wala na wengine, tulipokuwa tuliweza kuwalemea kama mitume wa Kristo;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo