Matendo 27:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19219 Na wakati mwingi ulipokwisha kupita, na safari ikiwa ina khatari sasa kwa sababu siku za kufunga zilikuwa zimekwisha kupita, Paolo akawaonya, akawaambia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Muda mrefu ulikuwa umepita, na hata siku ya kufunga ilikuwa imekwisha pita. Sasa ilikuwa hatari sana kusafiri kwa meli. Basi, Paulo aliwapa onyo: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Muda mrefu ulikuwa umepita, na hata siku ya kufunga ilikuwa imekwisha pita. Sasa ilikuwa hatari sana kusafiri kwa meli. Basi, Paulo aliwapa onyo: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Muda mrefu ulikuwa umepita, na hata siku ya kufunga ilikuwa imekwisha pita. Sasa ilikuwa hatari sana kusafiri kwa meli. Basi, Paulo aliwapa onyo: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Muda mwingi ulikuwa umepotea, na kusafiri baharini kulikuwa hatari, kwa sababu wakati huu ulikuwa baada ya Siku ya Kufunga. Hivyo Paulo akawaonya akasema, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Muda mwingi ulikuwa umepotea na kusafiri baharini kulikuwa hatari kwa sababu wakati huu ulikuwa baada ya siku za kufunga. Hivyo Paulo akawaonya akasema, Tazama sura |