Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 27:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Tukaipita kwa shidda, pwani kwa pwani, tukafika mahali paitwapo Bandari Nzuri. Karibu na hapo pana mji uitwao Lasaya.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo “Bandari Nzuri,” karibu na mji wa Lasea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo “Bandari Nzuri,” karibu na mji wa Lasea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo “Bandari Nzuri,” karibu na mji wa Lasea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Tukaambaa na pwani kwa shida, tukafika sehemu iitwayo Bandari Nzuri, karibu na mji wa Lasea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Tukaambaa na pwani kwa shida, tukafika sehemu iitwayo Bandari Nzuri, karibu na mji wa Lasea.

Tazama sura Nakili

Matendo 27:8
3 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia wanafunzi wake, Amin, nawaambieni, ya kwamba itakuwa shidda tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni.

Na kwa sababu bandari haikukaa vema, watu wakae ndani yake wakati wa haridi, walio wengi wakatoa shauri tutweke tukatoke huko illi wapate kufika Foiniki, kama ikiwezekana, na kukaa huko wakati wa baridi: nayo ni bandari ya Krete, inaelekea kaskazini-mashariki na kusini-mashariki.

Na upepo wa kusi ulipoanza kuvuma kidogo, wakidhani ya kuwa wamepata walioazimu kupata, wakangʼoa nanga, wakasafiri karibu na Krete pwani kwa pwani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo