Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 27:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 tukaipita bahari ya upande wa Kilikia na Pamfulia, tukafikia Mura, mji wa Lukia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Halafu tulivuka bahari ya Kilikia na Pamfulia, tukatia nanga Mura, mji wa Lukia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Halafu tulivuka bahari ya Kilikia na Pamfulia, tukatia nanga Mura, mji wa Lukia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Halafu tulivuka bahari ya Kilikia na Pamfulia, tukatia nanga Mura, mji wa Lukia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Baada ya sisi kuvuka bahari iliyo upande wa Kilikia na Pamfilia, tukafika Mira huko Likia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Baada ya sisi kuvuka bahari iliyoko upande wa Kilikia na Pamfilia, tukafika Mira huko Likia.

Tazama sura Nakili




Matendo 27:5
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kiisha Paolo na wenziwe wakangʼoa nanga wakasafiri kutoka Pafo, wakafika Perga katika Pamfulia. Yohana akawaacha akarejea Yerusalemi.


Wakaandika hivi kwa mikono yao, Mitume na wazee na ndugu, kwa ndugu zetu walioko Antiokia na Shami na Kilikia, walio wa mataifa, salamu.


Bali Paolo hakuona vema kumchukua huyo aliyewaacha huko Pamfulia, asiende nao kutenda ile kazi.


Akapita katika Shami na Kilikia akawatia moyo makanisa.


Frugia na Pamfulia, Misri na pande za Libua karibu na Kurene, na Warumi wageni, Wayahudi na Waongofu,


Paolo akasema, Mimi ni mtu wa Kiyahudi, mtu wa Tarso, mji wa Kilikia, mwenyeji wa mji usio mnyonge. Nakuomba, nipe rukhusa niseme na wenyeji hawa.


Mimi ni mtu wa Kiyahudi, nalizaliwa Tarso, mji wa Kilikia, nikalelewa katika niji huu miguumi pa Gamaliel, nikafundishwa sharia ya baba zetu kwa usahihi, nikawa mtu wa ijtihadi kwa Mungu kama ninyi nyote mlivyo leo hivi:


Lakini baadhi ya watu wa sunagogi lililokwitwa sunagogi la Malibertino, na la Wakurene na la Waiskanderia, na la wale wa Kilikia na Asia, wakaondoka wakajadiliana na Stefano:


Khalafu nalikwenda pande za Sham na Kilikia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo