Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 27:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 nao waliosalia, hawa juu ya mbao na hawa juu ya vitu vingine vya merikebu. Na hivyo watu wote wakapata kuifikia inchi kavu salama.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 na wengine wafuate wakijishikilia kwenye mbao au kwenye vipande vya meli iliyovunjika. Ndivyo sisi sote tulivyofika salama pwani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 na wengine wafuate wakijishikilia kwenye mbao au kwenye vipande vya meli iliyovunjika. Ndivyo sisi sote tulivyofika salama pwani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 na wengine wafuate wakijishikilia kwenye mbao au kwenye vipande vya meli iliyovunjika. Ndivyo sisi sote tulivyofika salama pwani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Waliosalia wangefika nchi kavu kwa kutumia mbao au vipande vya meli iliyovunjika, hivyo wote wakafika nchi kavu salama.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Waliosalia wangefika nchi kavu kwa kutumia mbao au vipande vya meli iliyovunjika, hivyo ikatimia kwamba wote wakaokoka na kufika nchi kavu salama.

Tazama sura Nakili

Matendo 27:44
8 Marejeleo ya Msalaba  

Sasa nawapeni shauri, mwe na moyo mkuu, kwa maana hapana hatta nafsi mmoja miongoni mwenu atakaepotea, illa merikebu, bassi.

Usiogope, Paolo, huna buddi kusimama mbele ya Kaisari: tena, tazama, Mungu amekupa watu wote wanaosafiri pamoja nawe.

Paolo akawaambia akida na askari, Hawa wasipokaa ndani ya marikebu hamtaweza kuokoka.

Na mwenye haki akiokoka kwa shidda, yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi ataonekana wapi?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo