Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 27:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Wakazitupilia mbali zile nanga, wakaziacha baharini, wakazilegeza kamba za sukani, wakalitweka tanga dogo illi liushike upepo, wakauendea ule ufuko.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Hivyo walikata nanga na kuziacha baharini, na wakati huohuo wakazifungua kamba zilizokuwa zimeufunga usukani, kisha wakatweka tanga moja mbele kushika upepo, wakaelekea ufukoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Hivyo walikata nanga na kuziacha baharini, na wakati huohuo wakazifungua kamba zilizokuwa zimeufunga usukani, kisha wakatweka tanga moja mbele kushika upepo, wakaelekea ufukoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Hivyo walikata nanga na kuziacha baharini, na wakati huohuo wakazifungua kamba zilizokuwa zimeufunga usukani, kisha wakatweka tanga moja mbele kushika upepo, wakaelekea ufukoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Kwa hiyo wakatupa nanga zote na kuziacha baharini, na wakati huo huo wakalegeza kamba zilizokuwa zikishikilia usukani wa meli. Kisha wakatweka tanga la mbele lishike upepo na kuisukuma meli kuelekea pwani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Kwa hiyo wakatupa nanga zote na kuziacha baharini, na wakati huo huo wakalegeza kamba zilizokuwa zikishikilia usukani wa meli. Kisha wakatweka tanga la mbele lishike upepo na kuisukuma meli kuelekea pwani.

Tazama sura Nakili

Matendo 27:40
5 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yesu akitembea kando ya bahari ya Galilaya, akaona ndugu wawili, Simon aitwae Petro, na Andrea ndugu yake, wakitupa jarife baharini; maana walikuwa wavuvi.

Walipokwisha kuikweza wakatumia misaada, wakaikaza merikehu kwa kupitisha kamba chini yake; na wakiogopa wasije wakakwama kwenye Surtis, wakatua matanga wakachukuliwa vivi hivi.

Lakini wakafikia mahali palipokutana bahari mbili, wakaiegesha merikebu, omo ikakwama ikakaa isitikiswe, bali shetri ilikuwa imefumuliwa kwa nguvu za mawimbi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo