Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 27:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Kulipokucha hawakuitambua ile inchi, illa waliona hori yenye ufuko, wakashauriana kuiegesha merikebu huko, kama ikiwezekana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Kulipokucha, wanamaji hawakuweza kuitambua nchi ile, ila waliona ghuba moja yenye ufuko; wakaamua kutia nanga huko kama ikiwezekana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Kulipokucha, wanamaji hawakuweza kuitambua nchi ile, ila waliona ghuba moja yenye ufuko; wakaamua kutia nanga huko kama ikiwezekana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Kulipokucha, wanamaji hawakuweza kuitambua nchi ile, ila waliona ghuba moja yenye ufuko; wakaamua kutia nanga huko kama ikiwezekana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Kulipopambazuka, mabaharia hawakuitambua ile nchi, lakini waliona ghuba yenye ufuko wa mchanga, ambako waliamua kuipweleza meli kama ingewezekana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Kulipopambazuka, mabaharia hawakuitambua ile nchi, lakini waliona ghuba yenye ufuko wa mchanga, ambako waliamua kuipweleza meli kama ingewezekana.

Tazama sura Nakili

Matendo 27:39
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yusuf, mumewe, kwa kuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.

Wakazitupilia mbali zile nanga, wakaziacha baharini, wakazilegeza kamba za sukani, wakalitweka tanga dogo illi liushike upepo, wakauendea ule ufuko.

TULIPOKWISHA kuokoka, ndipo tukajua ya kuwa kisiwa kile chaitwa Melita.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo