Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 27:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Na sisi tuliokuwa ndani ya merikebu tulipata watu miateen na sabaini na sita.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Jumla tulikuwa watu 276 katika meli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Jumla tulikuwa watu 276 katika meli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Jumla tulikuwa watu 276 katika meli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu mia mbili na sabini na sita (276).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu 276.

Tazama sura Nakili




Matendo 27:37
5 Marejeleo ya Msalaba  

Nao waliolipokea neno lake kwa furaha wakabatizwa: na siku ile wakazidishiwa watu wapata elfu tatu.


Walipokwisha kushiba wakaipunguza shehena va merikebu, wakaitupa nganu baharini.


Yusuf akatuma watu akamwita Yakobo baba yake na jamaa zake wote pia, watu sabaini na watano.


KILLA nafsi itumikie mamlaka makuu; kwa maana hapana mamlaka yasiyotoka kwa Mungu: na mamlaka yaliyopo yameamriwa na Mungu.


akawakhubiri watu wasiotii hapo zamani, uvumilivu wa Mungu ulipokuwa ukingoja, siku za Nuhu, safina ilipokuwa ikitengenezwa; ndani yake watu wachache, yaani, watu wanane, waliokoka kwa maji.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo