Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 27:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Wakachangaʼmka wote, wakala vyakula wenyewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Ndipo wote wakatiwa moyo, wakaanza kula chakula.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Ndipo wote wakatiwa moyo, wakaanza kula chakula.

Tazama sura Nakili




Matendo 27:36
4 Marejeleo ya Msalaba  

Sasa nawapeni shauri, mwe na moyo mkuu, kwa maana hapana hatta nafsi mmoja miongoni mwenu atakaepotea, illa merikebu, bassi.


Bassi, wanaume, changaʼmkani; kwa sababu namwamini Mungu, ya kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo