Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 27:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Bassi nawasihi mle chakula, maana itakuwa kwa wokofu wenu; kwa maana hapana unywele wa vichwa vyenu utakaopotea.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Basi, ninawasihi mle chakula kwa maana mnakihitaji ili mweze kuendelea kuishi. Maana hata unywele mmoja wa vichwa vyenu hautapotea.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Basi, ninawasihi mle chakula kwa maana mnakihitaji ili mweze kuendelea kuishi. Maana hata unywele mmoja wa vichwa vyenu hautapotea.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Basi, ninawasihi mle chakula kwa maana mnakihitaji ili mweze kuendelea kuishi. Maana hata unywele mmoja wa vichwa vyenu hautapotea.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Kwa hiyo nawasihi mle chakula, kwa maana itawasaidia ili mweze kuishi. Kwa kuwa hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza unywele hata mmoja kutoka kichwani mwake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Kwa hiyo nawasihi mle chakula, kwa maana itawasaidia ili mweze kuishi. Kwa kuwa hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza unywele hata mmoja kutoka kichwani mwake.”

Tazama sura Nakili

Matendo 27:34
10 Marejeleo ya Msalaba  

hatta na nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote.

Yesu akawaita wanafunzi wake, akasema, Nawahurumia makutano, kwa kuwa yapata siku tatu wamekaa pamoja nami, hawana kitu cha kula: na kuwaaga wakifunga sitaki, wasije wakazimia njiani.

walakini hatta nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope bassi: ninyi bora kuliko videge vingi.

Na unywele wa vichwa vyenu hautapotea kamwe.

Na kulipokuwa kukipambazuka Paolo akawasihi wote wale chakula, akisema, Leo ni siku ya kumi na nne kungoja na kufunga, hamkula kitu cho chote.

Maana mwe na nia lili ndani yenu iliyokuwamo na ndani ya Yesu Kristo;

Jilinde nafsi yako uwe safi; tokea sasa usinywe maji tu, bali tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo marra nyingi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo