Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 27:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Na kulipokuwa kukipambazuka Paolo akawasihi wote wale chakula, akisema, Leo ni siku ya kumi na nne kungoja na kufunga, hamkula kitu cho chote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Karibu na alfajiri, Paulo aliwahimiza wote wale chakula: “Kwa siku kumi na nne sasa mmekuwa katika mashaka na bila kula; hamjala kitu chochote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Karibu na alfajiri, Paulo aliwahimiza wote wale chakula: “Kwa siku kumi na nne sasa mmekuwa katika mashaka na bila kula; hamjala kitu chochote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Karibu na alfajiri, Paulo aliwahimiza wote wale chakula: “Kwa siku kumi na nne sasa mmekuwa katika mashaka na bila kula; hamjala kitu chochote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Kabla ya mapambazuko, Paulo akawasihi watu wote wale chakula akisema, “Leo ni siku ya kumi na nne mmekuwa katika wasiwasi mkiwa mmefunga na bila kula chochote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Kabla ya mapambazuko, Paulo akawasihi watu wote wale chakula akisema, “Leo ni siku ya kumi na nne mmekuwa katika wasiwasi mkiwa mmefunga na bila kula chochote.

Tazama sura Nakili

Matendo 27:33
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaita wanafunzi wake, akasema, Nawahurumia makutano, kwa kuwa yapata siku tatu wamekaa pamoja nami, hawana kitu cha kula: na kuwaaga wakifunga sitaki, wasije wakazimia njiani.

Na tulipokuwa tumekaa wakati mwingi bila kula chakula, Paolo akasimama katikati yao, akasema, Wanaume, ingalikuwa kheri kama mngalinisikiliza na kutokungʼoa nanga huko Krete, na kupata madhara haya na hasara hii.

Bassi askari wakazikata kamba za mashua, wakaiacha ianguke.

Bassi nawasihi mle chakula, maana itakuwa kwa wokofu wenu; kwa maana hapana unywele wa vichwa vyenu utakaopotea.

akala chakula, akapata nguvu. Akawa huko siku kadhawakadha pamoja na wanafunzi walioko Dameski.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo