Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 27:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Paolo akawaambia akida na askari, Hawa wasipokaa ndani ya marikebu hamtaweza kuokoka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Lakini Paulo alimwambia yule ofisa wa jeshi na askari wake, “Kama wanamaji hawa hawabaki ndani ya meli, hamtaokoka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Lakini Paulo alimwambia yule ofisa wa jeshi na askari wake, “Kama wanamaji hawa hawabaki ndani ya meli, hamtaokoka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Lakini Paulo alimwambia yule ofisa wa jeshi na askari wake, “Kama wanamaji hawa hawabaki ndani ya meli, hamtaokoka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Ndipo Paulo akamwambia yule jemadari na askari, “Hawa watu wasipobaki katika meli, hamtaweza kuokoka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Ndipo Paulo akamwambia yule jemadari na askari, “Hawa watu wasipobaki katika meli, hamtaweza kuokoka.”

Tazama sura Nakili

Matendo 27:31
14 Marejeleo ya Msalaba  

Yote anipayo Bwana itakuja kwangu; nae ajae kwangu sitamtupa nje kamwe.

Lakini yule akida akawasikiliza nakhodha na mwenye merikebu zaidi ya yale aliyoyasema Paolo.

Na baharia walipotaka kukimbia na kuiacha merikebu, wakiishusha mashua baharini kana kwamba wanataka kutupa nanga za omo,

Bassi askari wakazikata kamba za mashua, wakaiacha ianguke.

nao waliosalia, hawa juu ya mbao na hawa juu ya vitu vingine vya merikebu. Na hivyo watu wote wakapata kuifikia inchi kavu salama.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo