Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 27:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Wakachelea wasije wakapwelewa mahali penye miamba, wakatupa nanga nne, wakaomba kuche.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Kwa sababu ya kuogopa kukwama kwenye miamba, waliteremsha nanga nne nyuma ya meli; wakaomba kuche upesi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Kwa sababu ya kuogopa kukwama kwenye miamba, waliteremsha nanga nne nyuma ya meli; wakaomba kuche upesi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Kwa sababu ya kuogopa kukwama kwenye miamba, waliteremsha nanga nne nyuma ya meli; wakaomba kuche upesi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Wakiogopa kwamba meli yetu ingegonga kwenye miamba, wakashusha nanga nne za nyuma ya meli, wakawa wanaomba kupambazuke.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Wakiogopa kwamba meli yetu ingegonga kwenye miamba, wakashusha nanga nne za nyuma ya meli, wakawa wanaomba kupambazuke.

Tazama sura Nakili

Matendo 27:29
8 Marejeleo ya Msalaba  

Walipokwisha kuikweza wakatumia misaada, wakaikaza merikehu kwa kupitisha kamba chini yake; na wakiogopa wasije wakakwama kwenye Surtis, wakatua matanga wakachukuliwa vivi hivi.

Lakini hatuna buddi kupwelewa katika kisiwa kimoja.

Wakatupa bildi wakakuta pima ishirini, wakaendelea kidogo wakatupa bildi tena, wakakuta pima kumi na tano.

Na baharia walipotaka kukimbia na kuiacha merikebu, wakiishusha mashua baharini kana kwamba wanataka kutupa nanga za omo,

tuliyo nayo kama nanga ya roho, yenye salama, yenye nguvu, yaingiayo mle mlimo ndani ya pazia,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo