Matendo 27:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Wakatupa bildi wakakuta pima ishirini, wakaendelea kidogo wakatupa bildi tena, wakakuta pima kumi na tano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Hivyo walitafuta kina cha bahari kwa kuteremsha kamba iliyokuwa imefungiwa kitu kizito, wakapata kina cha mita arubaini. Baadaye wakapima tena wakapata mita thelathini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Hivyo walitafuta kina cha bahari kwa kuteremsha kamba iliyokuwa imefungiwa kitu kizito, wakapata kina cha mita arubaini. Baadaye wakapima tena wakapata mita thelathini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Hivyo walitafuta kina cha bahari kwa kuteremsha kamba iliyokuwa imefungiwa kitu kizito, wakapata kina cha mita arubaini. Baadaye wakapima tena wakapata mita thelathini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Kwa hiyo wakapima kina cha maji na kukuta kilikuwa pima ishirini; baada ya kuendelea mbele kidogo, wakapima tena wakapata kina cha pima kumi na tano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Kwa hiyo wakapima kina cha maji na kukuta kilikuwa pima ishirini, baada ya kuendelea mbele kidogo wakapima tena wakapata kina cha pima kumi na tano. Tazama sura |