Matendo 27:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192127 Hatta usiku wa kumi na nne ulipowadia, tukichukuliwa huko na huko katika bahari ya Adria, usiku wa manane baharia wakadhani ya kuwa wanaikaribia inchi kavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Usiku wa siku ya kumi na nne, tulikuwa tunakokotwa huku na huko katika bahari ya Adria. Karibu na usiku wa manane wanamaji walijihisi kuwa karibu na nchi kavu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Usiku wa siku ya kumi na nne, tulikuwa tunakokotwa huku na huko katika bahari ya Adria. Karibu na usiku wa manane wanamaji walijihisi kuwa karibu na nchi kavu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Usiku wa siku ya kumi na nne, tulikuwa tunakokotwa huku na huko katika bahari ya Adria. Karibu na usiku wa manane wanamaji walijihisi kuwa karibu na nchi kavu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Usiku wa kumi na nne ulipofika, tulikuwa bado tunasukumwa na upepo katika Bahari ya Adria. Ilipokuwa yapata usiku wa manane, mabaharia wakahisi kwamba walikuwa wanakaribia nchi kavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Usiku wa kumi na nne ulipofika, tulikuwa bado tunasukumwa na upepo katika Bahari ya Adria. Ilipokuwa yapata usiku wa manane, mabaharia wakahisi kwamba walikuwa wanakaribia nchi kavu. Tazama sura |