Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 27:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Bassi, wanaume, changaʼmkani; kwa sababu namwamini Mungu, ya kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Hivyo, waheshimiwa, jipeni moyo! Maana ninamwamini Mungu kwamba itakuwa sawa kama nilivyoambiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Hivyo, waheshimiwa, jipeni moyo! Maana ninamwamini Mungu kwamba itakuwa sawa kama nilivyoambiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Hivyo, waheshimiwa, jipeni moyo! Maana ninamwamini Mungu kwamba itakuwa sawa kama nilivyoambiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Hivyo jipeni moyo, enyi watu, kwa kuwa ninamwamini Mungu kwamba yatakuwa kama vile alivyoniambia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Hivyo jipeni moyo, enyi watu, kwa kuwa ninamwamini Mungu kwamba yatakuwa kama vile alivyoniambia.’

Tazama sura Nakili




Matendo 27:25
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na yu kheri aliyesadiki, kwa maana maneno hayo aliyoambiwa na Bwana yatatimizwa.


Lakini yule akida akawasikiliza nakhodha na mwenye merikebu zaidi ya yale aliyoyasema Paolo.


Wakachangaʼmka wote, wakala vyakula wenyewe.


Kwa sababu hiyo nimepata mateso haya, wala sitahayariki: maana namjua yeye niliyemwamini, na kusadiki kwamba aweza kukilinda kile nilichakiweka amana kwake hatta siku ile.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo