Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 27:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Sasa nawapeni shauri, mwe na moyo mkuu, kwa maana hapana hatta nafsi mmoja miongoni mwenu atakaepotea, illa merikebu, bassi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Lakini sasa ninawaombeni muwe na moyo; hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake; meli tu ndiyo itakayopotea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Lakini sasa ninawaombeni muwe na moyo; hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake; meli tu ndiyo itakayopotea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Lakini sasa ninawaombeni muwe na moyo; hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake; meli tu ndiyo itakayopotea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Sasa ninawasihi sana, jipeni moyo kwa kuwa hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake, ila meli itaangamia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Sasa ninawasihi sana, jipeni moyo mkuu kwa kuwa hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake, ila meli itaangamia.

Tazama sura Nakili




Matendo 27:22
14 Marejeleo ya Msalaba  

Usiku ule Bwana akasimama karibu nae, akasema, Uwe na moyo mkuu, Paolo; kwa sababu, kama ulivyonishuhudia khabari zangu Yerusalemi, imekupasa kunishuhudia vivyo hivyo Rumi.


Bassi, wanaume, changaʼmkani; kwa sababu namwamini Mungu, ya kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa.


Paolo akawaambia akida na askari, Hawa wasipokaa ndani ya marikebu hamtaweza kuokoka.


Bassi nawasihi mle chakula, maana itakuwa kwa wokofu wenu; kwa maana hapana unywele wa vichwa vyenu utakaopotea.


Wakachangaʼmka wote, wakala vyakula wenyewe.


nao waliosalia, hawa juu ya mbao na hawa juu ya vitu vingine vya merikebu. Na hivyo watu wote wakapata kuifikia inchi kavu salama.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo