Matendo 27:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Na jua na nyota hazikuonekana kwa muda wa siku nyingi, na tufani kuu ikatushika, bassi tukakata tamaa ya kuokoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kwa muda wa siku nyingi hatukuweza kuona jua wala nyota; dhoruba iliendelea kuvuma sana, hata matumaini yote ya kuokoka yakatuishia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kwa muda wa siku nyingi hatukuweza kuona jua wala nyota; dhoruba iliendelea kuvuma sana, hata matumaini yote ya kuokoka yakatuishia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kwa muda wa siku nyingi hatukuweza kuona jua wala nyota; dhoruba iliendelea kuvuma sana, hata matumaini yote ya kuokoka yakatuishia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Wakati jua wala nyota hazikuonekana kwa siku nyingi, na dhoruba iliendelea kuvuma, hatimaye tulikata tamaa ya kuokolewa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Kulipokuwa hakuna kuonekana kwa jua wala nyota kwa siku nyingi, nayo dhoruba ikiwa inaendelea kuwa kali, hatimaye tulikata kabisa tamaa ya kuokoka. Tazama sura |