Matendo 27:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192119 Siku ya tatu tukatupa vyombo vya merikebu kwa mikono yetu wenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Siku ya tatu, wakaanza pia kutupa majini vifaa vya meli kwa mikono yao wenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Siku ya tatu, wakaanza pia kutupa majini vifaa vya meli kwa mikono yao wenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Siku ya tatu, wakaanza pia kutupa majini vifaa vya meli kwa mikono yao wenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Siku ya tatu, wakatupa vyombo vya meli baharini kwa mikono yao wenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Siku ya tatu, wakatupa vyombo vya meli baharini kwa mikono yao wenyewe. Tazama sura |