Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 27:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Na kwa kuwa tukawa tukipigwa sana na ile tufani, siku ya pili yake wakaanza kuitupa shehena baharini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Tulikuwa tunapigwa na dhoruba kwa nguvu, kiasi kwamba kesho yake walianza kutupa shehena toka kwenye meli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Tulikuwa tunapigwa na dhoruba kwa nguvu, kiasi kwamba kesho yake walianza kutupa shehena toka melini.

Tazama sura Nakili




Matendo 27:18
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana atafaidiwa mtu nini akiupata ulimwengu wote, na kupata khasara ya roho yake? au mtu atatoa nini badala ya roho yake?


Kwa maana maisha ni zaidi ya chakula na mwili zaidi ya mavazi.


Yule bwana akamsifu wakili asiye haki, kwa kuwa alitenda kwa busara: kwa maana wana wa zamani hizi wana busara kuliko wana wa nuru, katika kizazi chao wenyewe.


Siku ya tatu tukatupa vyombo vya merikebu kwa mikono yetu wenyewe.


Walipokwisha kushiba wakaipunguza shehena va merikebu, wakaitupa nganu baharini.


BASSI na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, tuweke kando killa mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa uvumilivu katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo