Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 27:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Na tukipita upesi karibu na kisiwa kiitwacho Klaudia tukadiriki kuikweza mashua; kwa shidda lakini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Kisiwa kimoja kiitwacho Kauda kilitukinga kidogo na ule upepo; na tulipopita kusini mwake tulifaulu, ingawa kwa shida, kuusalimisha ule mtumbwi wa meli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Kisiwa kimoja kiitwacho Kauda kilitukinga kidogo na ule upepo; na tulipopita kusini mwake tulifaulu, ingawa kwa shida, kuusalimisha ule mtumbwi wa meli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Kisiwa kimoja kiitwacho Kauda kilitukinga kidogo na ule upepo; na tulipopita kusini mwake tulifaulu, ingawa kwa shida, kuusalimisha ule mtumbwi wa meli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Hatimaye tukisafiri kupita chini ya kisiwa kidogo kiitwacho Kauda, ambapo kwa kuwa tulikuwa tumekingiwa upepo na hicho kisiwa, tuliweza kwa shida kuifunga mashua ya kuokolea watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Hatimaye tukisafiri kupita chini ya kisiwa kidogo kiitwacho Kauda, ambapo kwa kuwa tulikuwa tumekingiwa upepo na hicho kisiwa, tuliweza kwa shida kuifunga mashua ya kuokolea watu.

Tazama sura Nakili

Matendo 27:16
4 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi alipokwisha kuona yale maono, marra tukataka kutoka kwenda Makedonia, kwa kuwa tuliona hakika ya kwamba Bwana ametuita tuwakhubiri Injili.

Ikachukuliwa, maana haikuweza kushindana na upepo, tukaiacha tukiichukuliwa.

Walipokwisha kuikweza wakatumia misaada, wakaikaza merikehu kwa kupitisha kamba chini yake; na wakiogopa wasije wakakwama kwenye Surtis, wakatua matanga wakachukuliwa vivi hivi.

Na baharia walipotaka kukimbia na kuiacha merikebu, wakiishusha mashua baharini kana kwamba wanataka kutupa nanga za omo,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo