Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 27:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Ikachukuliwa, maana haikuweza kushindana na upepo, tukaiacha tukiichukuliwa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Upepo uliipiga ile meli, na kwa kuwa hatukuweza kuukabili, tukaiacha ikokotwe na huo upepo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Upepo uliipiga ile meli, na kwa kuwa hatukuweza kuukabili, tukaiacha ikokotwe na huo upepo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Upepo uliipiga ile meli, na kwa kuwa hatukuweza kuukabili, tukaiacha ikokotwe na huo upepo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Meli ikapigwa na dhoruba na haikuweza kushindana na ule upepo, tukarudishwa baharini upepo ulikokuwa unaelekea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Meli ikapigwa na dhoruba na haikuweza kushindana na ule upepo, tukarudishwa baharini upepo ulikokuwa unaelekea.

Tazama sura Nakili

Matendo 27:15
4 Marejeleo ya Msalaba  

Baada ya muda mchache upepo wa nguvu wa namna ya tufani, uitwao Eurakulo, ukaipiga merikebu.

Na tukipita upesi karibu na kisiwa kiitwacho Klaudia tukadiriki kuikweza mashua; kwa shidda lakini.

Hatta usiku wa kumi na nne ulipowadia, tukichukuliwa huko na huko katika bahari ya Adria, usiku wa manane baharia wakadhani ya kuwa wanaikaribia inchi kavu.

Kaziangalieni merikebu; ingawa ni kubwua namna gani, na kuchukuliwa na pepo kali, zageuzwa na usukani mdogo sana, ko kote aazimuko kwenda yule aongozae.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo