Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 27:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Baada ya muda mchache upepo wa nguvu wa namna ya tufani, uitwao Eurakulo, ukaipiga merikebu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Lakini haukupita muda, upepo mkali uitwao “Upepo wa Kaskazi” ulianza kuvuma kutoka kisiwani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Lakini haukupita muda, upepo mkali uitwao “Upepo wa Kaskazi” ulianza kuvuma kutoka kisiwani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Lakini haukupita muda, upepo mkali uitwao “Upepo wa Kaskazi” ulianza kuvuma kutoka kisiwani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Lakini baada ya muda mfupi, ikavuma tufani kubwa iitwayo Eurakilo kutoka kisiwa cha Krete.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Lakini baada ya muda mfupi ikavuma tufani kubwa iitwayo “Eurakilo” toka kisiwa cha Krete.

Tazama sura Nakili




Matendo 27:14
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kukawa msukosuko mkuu baharini, hatta chombo kikafunikizwa na mawimbi: nae alikuwa amelala.


Ikatokea dharuba kuu ya npepo, mawimbi yakapiga chombo hatta kikaanza kujaa maji.


Ikachukuliwa, maana haikuweza kushindana na upepo, tukaiacha tukiichukuliwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo