Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 27:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Wanaume, naoua kwamba safari hii itakuwa ina madhara na hasara nyingi, si ya shehena na merikebu tu, illa na ya maisha zetu pia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 “Waheshimiwa, nahisi kwamba safari hii itakuwa ya shida na hasara nyingi si kwa shehena na meli tu, bali pia kwa maisha yetu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 “Waheshimiwa, nahisi kwamba safari hii itakuwa ya shida na hasara nyingi si kwa shehena na meli tu, bali pia kwa maisha yetu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 “Waheshimiwa, nahisi kwamba safari hii itakuwa ya shida na hasara nyingi si kwa shehena na meli tu, bali pia kwa maisha yetu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 “Mabwana, naona kuwa hii safari ni yenye maafa na ya kuleta hasara kubwa kwa meli na shehena, pia kwa maisha yetu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 “Mabwana, naona kuwa hii safari ni yenye maafa na ya kuleta hasara kubwa kwa meli na shehena, pia kwa maisha yetu.”

Tazama sura Nakili

Matendo 27:10
12 Marejeleo ya Msalaba  

Na tulipoona Kupro tukaiacha upande wa kushoto: tukasafiri hatta Shami tukashuka Turo. Kwa maana huko ndiko marikebu yetu itakakoshusha shehena yake.

Paolo akawaambia akida na askari, Hawa wasipokaa ndani ya marikebu hamtaweza kuokoka.

Bassi nawasihi mle chakula, maana itakuwa kwa wokofu wenu; kwa maana hapana unywele wa vichwa vyenu utakaopotea.

Na mwenye haki akiokoka kwa shidda, yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi ataonekana wapi?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo