Matendo 26:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Na alipokwisha kusema haya mfalme na liwali na Bereniki na wale walioketi pamoja nao wakasimama, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Hapo mfalme Agripa, mkuu wa mkoa, Bernike na wale wote waliokuwa pamoja nao, walisimama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Hapo mfalme Agripa, mkuu wa mkoa, Bernike na wale wote waliokuwa pamoja nao, walisimama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Hapo mfalme Agripa, mkuu wa mkoa, Bernike na wale wote waliokuwa pamoja nao, walisimama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Baada ya kusema hayo, mfalme akainuka pamoja na mtawala na Bernike na wale waliokuwa wameketi pamoja nao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Baada ya kusema hayo, mfalme akainuka pamoja na mtawala na Bernike na wale waliokuwa wameketi pamoja nao. Tazama sura |