Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 26:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Mfalme Agrippa, wawaamini manabii? Najua ya kuwa wawaamini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Mfalme Agripa, je, una imani na manabii? Najua kwamba unaamini.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Mfalme Agripa, je, una imani na manabii? Najua kwamba unaamini.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Mfalme Agripa, je, una imani na manabii? Najua kwamba unaamini.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Mfalme Agripa, je, unaamini manabii? Najua kuwa unaamini.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Mfalme Agripa, je, unaamini manabii? Najua kuwa unaamini.”

Tazama sura Nakili

Matendo 26:27
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana mfalme anajua khabari za mambo haya, na naweza kusema nae bila khofu, kwa sababu najua sana ya kuwa hapana neno moja katika hayo asilolijua; kwa maana jambo hilo halikutendeka pembeni.

Agrippa akamwambia Paolo, Kwa maneno machache wataka kunifanya kuwa Mkristo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo