Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 26:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Lakini Paolo akasema, Sina wazimu, ee Festo il-aziz, bali nanena maneno ya kweli na ya akili kamili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Lakini Paulo akasema, “Sina wazimu mheshimiwa Festo. Ninachosema ni ukweli mtupu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Lakini Paulo akasema, “Sina wazimu mheshimiwa Festo. Ninachosema ni ukweli mtupu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Lakini Paulo akasema, “Sina wazimu mheshimiwa Festo. Ninachosema ni ukweli mtupu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Lakini Paulo akajibu, “Mimi sijarukwa na akili, mtukufu sana Festo, bali nanena kweli nikiwa na akili zangu timamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Lakini Paulo akajibu, “Mimi sijarukwa na akili, mtukufu sana Festo, bali nanena kweli nikiwa na akili zangu timamu.

Tazama sura Nakili




Matendo 26:25
10 Marejeleo ya Msalaba  

nimeona vema na mimi, nikiisha kujipatia khabari zilizo sahihi za mambo yote tokea awali, kukuandikia kwa taratibu. Theofilo il-aziz:


Yesu akajibu, Mimi sina pepo; lakini namheshimu Baba yangu, nanyi hamniheshimu.


Klaudio Lusia kwa liwali il aziz Feliki salamu!


Kwa kuwa tunapata amani nyingi chini yako, ee Feliki il aziz, na kwa maangalizo yako mambo mabaya yanatengenezwa kwa ajili ya taifa hili, bassi tunayapokea killa wakati na killa mahali, kwa shukrani yote.


alishikae neno la imani kama alivyofundishwa, apate kuweza kuwaonya watu kwa mafundisho yenye uzima, na kuwashinda wenye kupingana nae.


bali mtakaseni Kristo Bwana mioyoni mwenu; mwe tayari siku zote kumjibu killa mtu akuulizae khabari za tumaini lililo ndani yenu; kwa upole na kwa khofu,


watu wasiolipa baya badala ya baya, au laumu badala ya laumu; bali wabarikio; kwa sababu ndiyo mlioitiwa illi mrithi baraka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo