Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 26:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Kwa sababu ya hayo Wayahudi wakanikamata ndani ya hekalu wakajaribu kuniua.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Kwa sababu hiyo, Wayahudi walinikamata nikiwa hekaluni, wakajaribu kuniua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Kwa sababu hiyo, Wayahudi walinikamata nikiwa hekaluni, wakajaribu kuniua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Kwa sababu hiyo, Wayahudi walinikamata nikiwa hekaluni, wakajaribu kuniua.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Ni kwa sababu hii Wayahudi walinikamata nilipokuwa Hekaluni, wakataka kuniua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Ni kwa sababu hii Wayahudi walinikamata nilipokuwa Hekaluni, wakataka kuniua.

Tazama sura Nakili

Matendo 26:21
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi zile siku saba zilipokuwa karibu kutimizwa, Wayahudi waliotoka Asia wakamwona ndani ya hekalu, wakawataharakisha watu wote, wakamkamata, wakapiga kelele, Enyi wanaume wa Israeli, saidieni.

Wakamsikiliza mpaka neno lile, wakapaaza sauti zao, wakisema, Mwondoe huyu katika inchi, kwa maana haifai aishi.

na kumwomba awafadhili, na kutoa amri aletwe Yerusalemi, wapate kumwotea na kumwua njiani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo