Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 26:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Kwa hiyo, ee Mfalme Agrippa, sikuiasi ile njozi ya mbinguni,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 “Hivyo, mfalme Agripa, sikuweza kuwa mkaidi kwa maono hayo ya mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 “Hivyo, mfalme Agripa, sikuweza kuwa mkaidi kwa maono hayo ya mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 “Hivyo, mfalme Agripa, sikuweza kuwa mkaidi kwa maono hayo ya mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 “Hivyo basi, Mfalme Agripa, sikuacha kuyatii yale maono yaliyotoka mbinguni,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 “Hivyo basi, Mfalme Agripa, sikuacha kuyatii yale maono yaliyotoka mbinguni,

Tazama sura Nakili




Matendo 26:19
13 Marejeleo ya Msalaba  

uwafumhue macho yao, waiache giza na kuielekea nuru, na waziache nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu, na wapate masamaha ya dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu.


Najiona nafsi yangu kuwa na kheri, ee mfalme Agrippa, kwa kuwa nitajitetea mbele yako leo, katika mambo yale niliyoshitakiwa na Wayahudi.


hali kwanza niliwakhubiri wale wa Dameski na Yerusalemi, na katika inchi yote ya Yahudi, na watu wa mataifa, watubu wakamwelekee Mungu, wakiyatenda matendo yanayopatana na kutubu kwao.


alipoona vema kumdhihirisha Mwana wake ndani yangu, illi niwakhubiri mataifa khabari zake, marra sikufanya shauri na watu wenye mwili na damu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo