Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 26:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Nami nikasema, Wewe u nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambae wewe unaniudhi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Mimi nikauliza: ‘Ni nani wewe Bwana?’ Naye Bwana akajibu: ‘Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Mimi nikauliza: ‘Ni nani wewe Bwana?’ Naye Bwana akajibu: ‘Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Mimi nikauliza: ‘Ni nani wewe Bwana?’ Naye Bwana akajibu: ‘Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 “Nikauliza, ‘Ni nani wewe, Bwana?’ “Naye Bwana akajibu, ‘Ni mimi Isa unayemtesa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 “Nikauliza, ‘Ni nani wewe, Bwana?’ “Naye Bwana Isa akajibu, ‘Ni mimi Isa unayemtesa.

Tazama sura Nakili




Matendo 26:15
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambieni. Kadiri mlivyomtendea mmojawapo katika hawo ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.


Nae atawajibu, akinena, Amin, nawaambieni, Kadiri msivyomtendea mmojawapo katika hawo walio wadogo, na mimi hamkunitendea.


Tukaanguka chini sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kiebrania, Saul! Saul! ya nini kunindhi? ni vigumu kwako kunpiga mateke mchokoo.


Lakini inuka, usimame, maana nimekutokea kwa sababu hii, nikuweke nwe mtumishi na shahidi wa mambo haya uliyoyaona, na wa mambo ambayo kwayo nitajidhihirisha kwako;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo