Matendo 26:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 AGRIPPA akamwambia Paolo, Una rukhusa kusema mimeno yako. Ndipo Paolo akanyosha mkono wake, akajitetea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Basi, Agripa akamwambia Paulo, “Unaruhusiwa kujitetea.” Hapo Paulo alinyosha mkono wake akajitetea hivi: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Basi, Agripa akamwambia Paulo, “Unaruhusiwa kujitetea.” Hapo Paulo alinyosha mkono wake akajitetea hivi: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Basi, Agripa akamwambia Paulo, “Unaruhusiwa kujitetea.” Hapo Paulo alinyosha mkono wake akajitetea hivi: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ndipo Agripa akamwambia Paulo, “Una ruhusa kujitetea.” Hivyo Paulo akawaashiria kwa mkono wake, akaanza kujitetea, akasema: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ndipo Agripa akamwambia Paulo, “Unayo ruhusa kujitetea.” Hivyo Paulo akawaashiria kwa mkono wake, akaanza kujitetea, akasema: Tazama sura |