Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 25:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Lakini Festo akitaka kujipendekeza kwa Wayahudi akamjibu Paolo, akisema, Wataka kwenda Yerusalemi, ukahukumiwe huko mbele yangu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Festo alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi na hivyo akamwuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na huko ukahukumiwe mbele yangu kuhusu mashtaka haya?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Festo alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi na hivyo akamwuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na huko ukahukumiwe mbele yangu kuhusu mashtaka haya?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Festo alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi na hivyo akamwuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na huko ukahukumiwe mbele yangu kuhusu mashtaka haya?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Festo, akitaka kuwapendeza Wayahudi, akamuuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na kukabili mashtaka mbele yangu huko?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Festo, akitaka kuwapendeza Wayahudi, akamuuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na kukabili mashtaka mbele yangu huko?”

Tazama sura Nakili

Matendo 25:9
5 Marejeleo ya Msalaba  

Pilato akapenda kuwafanyia radhi makutano, akawafungulia Barabba: akamtoa Yesu, baada ya kumpiga mijeledi, asulibiwe.

Na akiona ya kuwa imewapendeza Wayahudi akaendelea akamtwaa na Petro. Siku hizo ndizo siku za mikate isiyochachwa.

Na miaka miwili ilipotimia. Feliki akampokea Porkio Festo atawale badala yake. Na Feliki, akitaka kuwafanyia Wayahudi fadhili, akamwacha Paolo amefungwa.

Nami nikaona mashaka jinsi ya kutafuta hakika ya khabari hii, nikamwuliza kama anataka kwenda Yerusalemi ahukumiwe huko katika mambo haya.

na kumwomba awafadhili, na kutoa amri aletwe Yerusalemi, wapate kumwotea na kumwua njiani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo