Matendo 25:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 Festo akasema, Mfalme Agrippa, na ninyi nyote mliopo hapa pamoja nasi, mnamwona mtu huyu, ambae jamii yote ya Wayahudi huku Yerusalemi na hapa pia wamenitaka niwasaidie, wakipiga kelele kwamba haimpasi kuzidi kuishi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 kisha akasema, “Mfalme Agripa na wote mlioko hapa pamoja nasi! Hapa mbele yenu yuko mtu ambaye jumuiya yote ya Wayahudi hapa na kule Yerusalemu walinilalamikia wakipiga kelele kwamba hastahili kuishi tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 kisha akasema, “Mfalme Agripa na wote mlioko hapa pamoja nasi! Hapa mbele yenu yuko mtu ambaye jumuiya yote ya Wayahudi hapa na kule Yerusalemu walinilalamikia wakipiga kelele kwamba hastahili kuishi tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 kisha akasema, “Mfalme Agripa na wote mlioko hapa pamoja nasi! Hapa mbele yenu yuko mtu ambaye jumuiya yote ya Wayahudi hapa na kule Yerusalemu walinilalamikia wakipiga kelele kwamba hastahili kuishi tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Festo akasema, “Mfalme Agripa, nanyi nyote mlio hapa pamoja nasi, mnamwona mtu huyu! Jumuiya yote ya Kiyahudi wamenilalamikia kuhusu mtu huyu huko Yerusalemu na hapa Kaisaria, wakipiga kelele kwamba hapaswi kuendelea kuishi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Festo akasema, “Mfalme Agripa, nanyi nyote mlio hapa pamoja nasi, mnamwona mtu huyu! Jumuiya yote ya Kiyahudi wamenilalamikia kuhusu mtu huyu huko Yerusalemu na hapa Kaisaria, wakipiga kelele kwamba haimpasi kuendelea kuishi. Tazama sura |