Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 25:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Kuhani mkuu na Wayahudi wakampasha khabari za Paolo, wakamsihi,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Makuhani wakuu pamoja na viongozi wa Wayahudi walimpa habari kuhusu mashtaka yaliyokuwa yanamkabili Paulo. Walimsihi Festo

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Makuhani wakuu pamoja na viongozi wa Wayahudi walimpa habari kuhusu mashtaka yaliyokuwa yanamkabili Paulo. Walimsihi Festo

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Makuhani wakuu pamoja na viongozi wa Wayahudi walimpa habari kuhusu mashtaka yaliyokuwa yanamkabili Paulo. Walimsihi Festo

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 ambako viongozi wa makuhani na viongozi wa Wayahudi walikuja mbele yake na kuleta mashtaka yao dhidi ya Paulo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 ambako viongozi wa makuhani na viongozi wa Wayahudi walikuja mbele yake na kuleta mashtaka yao dhidi ya Paulo.

Tazama sura Nakili

Matendo 25:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

BAADA ya siku tano, Anania, kuhani mkuu, akatelemka na baadhi ya wazee pamoja nae, na msemi mmoja, Tertullo nao wakamweleza liwali khabari za Paolo.

nami nilipokuwa Yerusalemi makuhani wakuu na wazee wa Wayahudi wakaniarifu khabari zake, wakitaka ahukumiwe.

Festo akasema, Mfalme Agrippa, na ninyi nyote mliopo hapa pamoja nasi, mnamwona mtu huyu, ambae jamii yote ya Wayahudi huku Yerusalemi na hapa pia wamenitaka niwasaidie, wakipiga kelele kwamba haimpasi kuzidi kuishi.

Ikawa baada ya siku tatu akawaita wakuu wa Wayahudi wakutane; hatta walipokuja akawaambia, Wanaume ndugu, ningawa sikufanya neno kinyume cha watu wetu wala neno lililopingamana na desturi za baba zetu, nalitiwa katika mikono ya Warumi, nimefungwa, tokea Yerusalemi.

wakituzuia tusiseme na mataifa wapate kuokolewa; illi watimize dhambi zao siku zote; lakini hasira imewafikia hatta mwisho.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo