Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 25:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Na wale waliomshitaki waliposimama karibu nae, hawakumshitaki neno baya, kama nilivyodhani,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Washtaki wake walipoinuka kuzungumza, hawakumshtaki kwa uhalifu wowote kama nilivyotarajia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Washtaki wake waliposimama, hawakushtaki kwa uhalifu wowote niliokuwa ninatarajia.

Tazama sura Nakili




Matendo 25:18
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Pilato akawaambia, Mtwaeni ninyi, mkamhukumu kwa sharia yenu. Wayahudi wakamwambia, Sisi hatuna rukhusa kuua mtu;


Na Paolo alipotaka kufunua kinywa chake, Gallio akawaambia Wayahudi, Kama lingetendeka tendo la dhuluma au la hila mbaya, enyi Wayahudi, ingekuwa haki kuchukuliana nanyi;


Bassi walipokutanika hapa sikukawia; bali siku ya pili nikaketi katika kiti cha hukumu nikaamuru mtu huyo aletwe.


hali walikuwa na maswali juu yake katika dini yao wenyewe, na katika khabari ya mtu mmoja Yesu, aliyekuwa amekwisha kufa, ambae Paolo alishika kusema kwamba yu hayi.


Akasema, Wale walio na mamlaka na watelemke pamoja nami wakamshitaki, ikiwa liko neno baya katika mtu huyu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo