Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 25:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Bassi walipokutanika hapa sikukawia; bali siku ya pili nikaketi katika kiti cha hukumu nikaamuru mtu huyo aletwe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Basi, walipofika hapa sikukawia, ila nilifanya kikao mahakamani kesho yake, nikaamuru mtu huyo aletwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Basi, walipofika hapa sikukawia, ila nilifanya kikao mahakamani kesho yake, nikaamuru mtu huyo aletwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Basi, walipofika hapa sikukawia, ila nilifanya kikao mahakamani kesho yake, nikaamuru mtu huyo aletwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Hivyo walipokutana hapa, sikukawia, kesho yake niliitisha baraza, nikaketi kwenye kiti changu cha hukumu, nikaagiza huyo mtu aletwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Hivyo walipokutana hapa, sikukawia, kesho yake niliitisha baraza, nikaketi penye kiti changu cha hukumu, nikaagiza huyo mtu aletwe.

Tazama sura Nakili




Matendo 25:17
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na alipokuwa ameketi juu ya kiti cha hukumu, mkewe alimpelekea mjumbe, kumwambia, Usiwe na neno na yule mwenye haki: kwa sababu nimeteswa mengi leo katika udoto kwa ajili yake.


Paolo akasema, Mimi ninasimama hapa mbele ya kiti cha hukumu cha Kaisari, panipasapo kuhukumiwa: sikuwakosa Wayahudi neno, kama wewe ujuavyo sana.


Na wale waliomshitaki waliposimama karibu nae, hawakumshitaki neno baya, kama nilivyodhani,


Alipokwisha kukawia kwao siku kumi na zaidi, akatelemkia Kaisaria: hatta siku ya pili akaketi katika kiti cha hukumu akaamuru Paolo aletwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo