Matendo 25:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 nami nilipokuwa Yerusalemi makuhani wakuu na wazee wa Wayahudi wakaniarifu khabari zake, wakitaka ahukumiwe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Nilipokwenda Yerusalemu makuhani wakuu na wazee wa Wayahudi walimshtaki na kuniomba nimhukumu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Nilipokwenda Yerusalemu makuhani wakuu na wazee wa Wayahudi walimshtaki na kuniomba nimhukumu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Nilipokwenda Yerusalemu makuhani wakuu na wazee wa Wayahudi walimshtaki na kuniomba nimhukumu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nilipokuwa huko Yerusalemu, viongozi wa makuhani na wazee wa Wayahudi walinijulisha habari zake na wakaomba hukumu dhidi yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nilipokuwa huko Yerusalemu, viongozi wa makuhani na wazee wa Wayahudi walinijulisha habari zake na wakaomba hukumu dhidi yake. Tazama sura |