Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 25:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Na walipokuwa wakikaa huko siku nyingi, Festo akamweleza mfalme khabari za Paolo, akisema, Yupo hapa mtu aliyeachwa na Feliki kifungoni;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Walikuwa huko siku kadhaa naye Festo akamweleza mfalme kesi ya Paulo: “Kuna mtu mmoja hapa ambaye Felisi alimwacha kizuizini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Walikuwa huko siku kadhaa naye Festo akamweleza mfalme kesi ya Paulo: “Kuna mtu mmoja hapa ambaye Felisi alimwacha kizuizini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Walikuwa huko siku kadhaa naye Festo akamweleza mfalme kesi ya Paulo: “Kuna mtu mmoja hapa ambaye Felisi alimwacha kizuizini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kwa kuwa walikuwa wakae huko Kaisaria kwa siku nyingi, Festo alijadili kesi ya Paulo na mfalme, akisema, “Kuna mtu mmoja hapa ambaye Feliksi alimwacha gerezani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kwa kuwa walikuwa wakae huko Kaisaria kwa siku nyingi, Festo alijadili shauri la Paulo na mfalme, akisema, “Kuna mtu mmoja hapa ambaye Feliksi alimwacha gerezani.

Tazama sura Nakili




Matendo 25:14
3 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia kuweka nyama tayari wampandishe Paolo, na kumchukua salama kwa Feliki liwali.


Na wale walipofika Kaisaria, wakampa liwali ile barua, wakamweka Paolo mbele yake. Nae alipokwislia kuisoma, akawauliza, Mtu huyu ni wa wilaya gani?


Na miaka miwili ilipotimia. Feliki akampokea Porkio Festo atawale badala yake. Na Feliki, akitaka kuwafanyia Wayahudi fadhili, akamwacha Paolo amefungwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo