Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 25:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Siku kadha wa kadha zilipokwisha kupita, Agrippa mfalme na Bereniki wakafika Kaisaria, wakimwamkia Festo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Siku chache baadaye, mfalme Agripa na Bernike walifika Kaisarea ili kutoa heshima zao kwa Festo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Siku chache baadaye, mfalme Agripa na Bernike walifika Kaisarea ili kutoa heshima zao kwa Festo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Siku chache baadaye, mfalme Agripa na Bernike walifika Kaisarea ili kutoa heshima zao kwa Festo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Baada ya siku kadhaa Mfalme Agripa na Bernike wakapanda kuja Kaisaria kumsalimu Festo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Baada ya siku kadhaa Mfalme Agripa na Bernike wakapanda kuja Kaisaria kumsalimu Festo.

Tazama sura Nakili

Matendo 25:13
12 Marejeleo ya Msalaba  

wakaanza kumsalimu, Salamu Mfalme wa Wayahudi!

HATTA Festo alipokwisha kuingia katika wilaya yake, baada ya siku tatu akapanda kwenda Yerusalemi kutoka Kaisaria.

Bassi Festo alipokwisha kusema na watu wa baraza, akajibu, Umetaka rufaani kwa Kaisari! bassi, utakwenda kwa Kaisari.

Festo akajibu ya kama Paolo atalindwa Kaisaria; nae mwenyewe yu tayari kwenda huko karibu.

AGRIPPA akamwambia Paolo, Una rukhusa kusema mimeno yako. Ndipo Paolo akanyosha mkono wake, akajitetea.

Filipo akaonekana katika Azoto, na alipokuwa akipita akakhubiri Injili katika miji yote, hatta akafika Kaisaria.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo