Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 25:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Paolo akasema, Mimi ninasimama hapa mbele ya kiti cha hukumu cha Kaisari, panipasapo kuhukumiwa: sikuwakosa Wayahudi neno, kama wewe ujuavyo sana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Paulo akajibu, “Nasimama mbele ya mahakama ya Kaisari, na papa hapa ndipo ninapopaswa kupewa hukumu. Kama unavyojua vizuri, sikuwatendea Wayahudi ubaya wowote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Paulo akajibu, “Nasimama mbele ya mahakama ya Kaisari, na papa hapa ndipo ninapopaswa kupewa hukumu. Kama unavyojua vizuri, sikuwatendea Wayahudi ubaya wowote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Paulo akajibu, “Nasimama mbele ya mahakama ya Kaisari, na papa hapa ndipo ninapopaswa kupewa hukumu. Kama unavyojua vizuri, sikuwatendea Wayahudi ubaya wowote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Paulo akasema, “Mimi sasa nimesimama mbele ya mahakama ya Kaisari, ambako ninastahili kushtakiwa. Kama vile wewe mwenyewe unavyojua vyema kabisa sijawatendea Wayahudi kosa lolote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Paulo akasema, “Mimi sasa nimesimama mbele ya mahakama ya Kaisari, ambako ndiko ninakostahili kushtakiwa. Kama vile wewe mwenyewe ujuavyo vyema kabisa sijawatendea Wayahudi kosa lolote.

Tazama sura Nakili




Matendo 25:10
12 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana alijua ya kuwa wamemtoa kwa husuda.


Na alipokuwa ameketi juu ya kiti cha hukumu, mkewe alimpelekea mjumbe, kumwambia, Usiwe na neno na yule mwenye haki: kwa sababu nimeteswa mengi leo katika udoto kwa ajili yake.


nikaona kwamba ameshitakiwa kwa ajili ya maswali ya sharia yao, wala hakushitakiwa neno lo lote la kustahili kuuawa wala kufungwa.


Bassi walipokutanika hapa sikukawia; bali siku ya pili nikaketi katika kiti cha hukumu nikaamuru mtu huyo aletwe.


Nami nilipoona kama hakutenda neno la kustahili kuuawa, na yeye mwenyewe alipotaka kuhukumiwa na Augusto, nalikusudia kumpeleka kwake.


Alipokwisha kukawia kwao siku kumi na zaidi, akatelemkia Kaisaria: hatta siku ya pili akaketi katika kiti cha hukumu akaamuru Paolo aletwe.


wakaenda mbali kidogo wakasemezana, wakisema, ya kama, Mtu huyo hatendi neno linalostahili kifo wala kufungwa.


Na hao walipokwisha kuniuliza walitaka kunifungua, kwa maana hapakuwa na sababu yo yote ya kuuawa kwangu.


lakini tumekataa mambo ya aibu yaliyosetirika, wala hatuenendi kwa ujanja, wala kulichanganya neno la Mungu na uwongo; hali kwa kuidhihirisha iliyo kweli twajionyesha kuwa na haki, dhamiri za watu zikitushuhudia mhele za Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo