Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 25:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 HATTA Festo alipokwisha kuingia katika wilaya yake, baada ya siku tatu akapanda kwenda Yerusalemi kutoka Kaisaria.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Siku tatu baada ya kufika mkoani, Festo alitoka Kaisarea, akaenda Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Siku tatu baada ya kufika mkoani, Festo alitoka Kaisarea, akaenda Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Siku tatu baada ya kufika mkoani, Festo alitoka Kaisarea, akaenda Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Siku tatu baada ya Festo kuwasili Kaisaria kuchukua wajibu wake mpya, alipanda kwenda Yerusalemu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Siku tatu baada ya Festo kuwasili Kaisaria kuchukua wajibu wake mpya, alipanda kwenda Yerusalemu,

Tazama sura Nakili




Matendo 25:1
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akatweka, akatoka Efeso, na alipokwisha kushuka Kaisaria, akapanda juu, akawasalimu Kanisa, akatelemkia Antiokia.


Baada ya siku zile tukachukua vyombo vyetu tukapanda kwenda Yerusalemi.


Alipoarifiwa ya kuwa ni mtu wa Kilikia, akasema,


Na miaka miwili ilipotimia. Feliki akampokea Porkio Festo atawale badala yake. Na Feliki, akitaka kuwafanyia Wayahudi fadhili, akamwacha Paolo amefungwa.


Siku kadha wa kadha zilipokwisha kupita, Agrippa mfalme na Bereniki wakafika Kaisaria, wakimwamkia Festo.


Festo akajibu ya kama Paolo atalindwa Kaisaria; nae mwenyewe yu tayari kwenda huko karibu.


Akasema, Wale walio na mamlaka na watelemke pamoja nami wakamshitaki, ikiwa liko neno baya katika mtu huyu.


Alipokwisha kukawia kwao siku kumi na zaidi, akatelemkia Kaisaria: hatta siku ya pili akaketi katika kiti cha hukumu akaamuru Paolo aletwe.


Filipo akaonekana katika Azoto, na alipokuwa akipita akakhubiri Injili katika miji yote, hatta akafika Kaisaria.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo