Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 24:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Wewe mwenyewe utaweza kumwuliza na kupata khabari ya mambo yale tunayomshitaki sisi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Kisha akaamuru washtaki wake waje mbele yako.] Kama ukimhoji wewe mwenyewe, utaweza kubainisha mambo haya yote tunayomshtaki kwayo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Kisha akaamuru washtaki wake waje mbele yako.] Kama ukimhoji wewe mwenyewe, utaweza kubainisha mambo haya yote tunayomshtaki kwayo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Kama ukimhoji wewe mwenyewe, utaweza kubainisha mambo haya yote tunayomshtaki kwayo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 akiwaamuru washtaki wake waje mbele yako.] Kwa kumchunguza mwenyewe utaweza kujua ukweli kuhusu mashtaka haya yote tunayoleta dhidi yake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 akiwaamuru washtaki wake waje mbele yako: ili] kwa kumchunguza wewe mwenyewe unaweza kujua kutoka kwake mambo yote tunayomshtaki kwayo.”

Tazama sura Nakili




Matendo 24:8
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mmeniletea mtu huyu, kana kwamba anapotosha watu; nami hassi nilipomhukumu mbele yenu, sikuona khatiya katika mtu huyu katika yale mliyomshitaki;


Hatta nilipopewa khabari kwamba patakuwa na vitimbi juu ya mtu huyu, marra nikampeleka kwako, nikawaagiza na wale walioshitaki, wanene khabari zake mbele yako. Salamu.


Nitakusikia maneno yako watakapokuja wale waliokushitaki; akaamuru alindwe katika praitorio ya Herode.


Lakini Lusia jemadari akafika, akampokonya mikononi mwetu kwa nguvu, akawaamuru wale waliomshitaki waje kwako.


Wayahudi nao wakamshitaki, wakisema ya kuwa ndivyo yalivyo.


Akasema, Wale walio na mamlaka na watelemke pamoja nami wakamshitaki, ikiwa liko neno baya katika mtu huyu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo