Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 24:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Lakini Lusia jemadari akafika, akampokonya mikononi mwetu kwa nguvu, akawaamuru wale waliomshitaki waje kwako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Lakini Lusia, mkuu wa jeshi, aliingilia kati, akamchukua kwa nguvu kutoka mikononi mwetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Lakini Lusia, mkuu wa jeshi, aliingilia kati, akamchukua kwa nguvu kutoka mikononi mwetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Lakini jemadari Lisia alitujia na nguvu nyingi, akamwondoa mikononi mwetu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Lakini jemadari Lisia alitujia na nguvu nyingi, akamwondoa mikononi mwetu,

Tazama sura Nakili




Matendo 24:7
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na walipokuwa wakitafuta njia ya kumwua, khabari zikamfikilia jemadari wa kikosi ya kwamba mji Yerusalemi umechafuka, mji mzima.


Bassi alipolika darajani ilikuwa yeye kuchukuliwa na askari kwa sababu ya jeuri ya makutano.


Ugomvi mkubwa ulipotokea, yule jemadari akachelea Paolo asije akararuliwa nao, akaamuru askari washuke na kumpokonya mikononi mwao, na kumleta ndani ya ngome.


Akaita maakida wawili, akasema, Wekeni tayari askari miateen kwenda Kaisaria, na askari wapanda farasi sabaini, na wenye mikuki miateen, panapo saa tatu ya usiku.


Na tena alijaribu kuitia hekalu najis: tukamkamata: tukataka kumhukumu kwa sharia yetu.


Wewe mwenyewe utaweza kumwuliza na kupata khabari ya mambo yale tunayomshitaki sisi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo