Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 24:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Na tena alijaribu kuitia hekalu najis: tukamkamata: tukataka kumhukumu kwa sharia yetu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Tena alijaribu kulikufuru hekalu, nasi tukamtia nguvuni. [Tulitaka kumhukumu kufuatana na sheria yetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Tena alijaribu kulikufuru hekalu, nasi tukamtia nguvuni. [Tulitaka kumhukumu kufuatana na sheria yetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Tena alijaribu kulikufuru hekalu, nasi tukamtia nguvuni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 na hata amejaribu kulinajisi Hekalu, hivyo tukamkamata. [Tukataka kumhukumu kufuatana na sheria zetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 na hata amejaribu kulinajisi Hekalu, hivyo tukamkamata; [tukataka kumhukumu kufuatana na sheria zetu.

Tazama sura Nakili




Matendo 24:6
8 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Pilato akawaambia, Mtwaeni ninyi, mkamhukumu kwa sharia yenu. Wayahudi wakamwambia, Sisi hatuna rukhusa kuua mtu;


Kwa maana mmewaleta watu hawa, wasiokwiba vitu vya hekalu wala kumtukana mungu mke wetu.


Walipokuwa wakipiga kelele na kutupa mavazi yao na kurusharusha mavumbi juu,


Watu hawa hawakuniona ndani ya hekalu, nikihujiana na mtu, wala nikifanya fujo katika mkutano, wala katika masunagogi wala ndani ya mji.


Lakini Lusia jemadari akafika, akampokonya mikononi mwetu kwa nguvu, akawaamuru wale waliomshitaki waje kwako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo