Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 24:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Lakini nisikuudhi zaidi, nakusihi utusikilize maneno machache kwa fadhili zako.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Lakini, bila kupoteza wakati wako zaidi, tunakusihi kwa wema wako, usikilize taarifa yetu fupi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Lakini, bila kupoteza wakati wako zaidi, tunakusihi kwa wema wako, usikilize taarifa yetu fupi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Lakini, bila kupoteza wakati wako zaidi, tunakusihi kwa wema wako, usikilize taarifa yetu fupi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Lakini nisije nikakuchosha zaidi, ningekuomba kwa hisani yako utusikilize kwa kifupi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Lakini nisije nikakuchosha zaidi, ningekuomba kwa hisani yako utusikilize kwa kifupi.

Tazama sura Nakili

Matendo 24:4
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa tunapata amani nyingi chini yako, ee Feliki il aziz, na kwa maangalizo yako mambo mabaya yanatengenezwa kwa ajili ya taifa hili, bassi tunayapokea killa wakati na killa mahali, kwa shukrani yote.

Kwa maana tamemwona mtu huyu mkorofi, muanzishaji wa fitina katika Mayahudi waliomo duniani, tena ni kichwa cha uzushi wa Wanazorayo.

ya kwamba kwa kufunuliwa nalijulishwa siri ile, kama nilivyotangulia kuandika kwa maneno machache,

Upole wenu ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.

Na niseme nini tena? Maana wakati usingenitosha kuleta khabari za Gideon na Barak na Samson na Yeftha na Daud na Samwil na manabii;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo