Matendo 24:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19213 Kwa kuwa tunapata amani nyingi chini yako, ee Feliki il aziz, na kwa maangalizo yako mambo mabaya yanatengenezwa kwa ajili ya taifa hili, bassi tunayapokea killa wakati na killa mahali, kwa shukrani yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Wakati wote na kila mahali, kwa namna yoyote, mtukufu Feliksi, tumeyapokea mambo haya yote kwa shukrani nyingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Wakati wote na kila mahali, kwa namna yoyote, mtukufu sana Feliksi, tumeyapokea mambo haya yote kwa shukrani nyingi. Tazama sura |