Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 24:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Nina tumaini kwa Mungu, na hatta hao nao wanalitazamia, ya kwamba kutakuwa ufufuo wa wafu wenye haki na wasio haki pia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Mimi namtumainia Mungu, na wao wanalo tumaini hilo, kwamba watu, wema na wabaya, watafufuka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Mimi namtumainia Mungu, na wao wanalo tumaini hilo, kwamba watu, wema na wabaya, watafufuka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Mimi namtumainia Mungu, na wao wanalo tumaini hilo, kwamba watu, wema na wabaya, watafufuka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 nami ninalo tumaini kwa Mungu, ambalo hata wao wenyewe wanalikubali kwamba kutakuwa na ufufuo wa wafu, kwa wenye haki na wasio na haki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 nami ninalo tumaini kwa Mungu, ambalo hata wao wenyewe wanalikubali kwamba kutakuwa na ufufuo wa wafu, kwa wenye haki na wasio na haki.

Tazama sura Nakili

Matendo 24:15
16 Marejeleo ya Msalaba  

Na hawo watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele: bali wenye haki katika uzima wa milele.

kwa sababu hawana kitu cha kukulipa; maana utalipwa katika ufufuo wa wenye haki.

Martha akamwambia, Najua ya kuwa atafufuka katika ufufuo siku ya mwisho.

isipokuwa kwa ajili ya sauti hii moja, nilipolia nikisimama katikati yao, Kwa ajili ya ufufuo wa wafu ninahukumiwa mbele yenu hivi leo.

atakaeubadili mwili wetu wa unyonge, upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule awezao kuvitiisha hatta na vitu vyote chini yake.

Yu kheri, mtakatifu, aliye na sehemu katika ufufuo wa kwanza; juu ya hao mauti ya pili haina nguvu; bali watakuwa makuhani wa Mungu na wa Kristo, nao watamiliki pamoja nae miaka elfu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo